0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

612. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Uharamu Wa Kibri Na Majivuno.

 باب تحريم الكبر والإعجاب


وعن سلمة بن الأكوع – رضي الله عنه -: أنّ رَجُلاً أكَلَ عِنْدَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – بشمالِهِ، فَقَالَ: { كُلْ بيَمِينِكَ} قَالَ: لاَ أسْتَطِيعُ ! قَالَ: { لا اسْتَطَعْتَ} مَا مَنَعَهُ إِلاَّ الكِبْرُ. قَالَ: فما رفَعها إِلَى فِيهِ.    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى


Imepokewa kutoka kwa Salamah bin al-Akwa’ (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtu mmoja alikula kwa Mtume kwa mkono wake wa kushoto. (Mtume ) akamwambia: “Kula kwa mkono wako wa kulia.” Yule mtu akasema: “Siwezi!” (Mtume) akamwambia: “Mwana kutoweza!” Hakuna kilichomzuwia ispokuwa ni kibri. Basi hakuweza tena kuinua mkono wake hadi mdomoni mwake.   [ Imepokewa na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.