0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

60. MLANGO WA UKARIM, UFADHILI NA KUTOA KATIKA NJIA ZA KHERI KWA KUMUANI ALLAH MTUKUFU.

باب الكرم والجود والإنفاق في وجوه الخير ثقةً بالله تعالى


قَالَ الله تَعَالَى: ﴿وَمَا أنْفَقْتُمْ مِنْ شَيْءٍ فَهُوَ يُخْلِفُهُ﴾ [ سبأ: 39 ]

وقال تَعَالَى: ﴿وَمَا تُنْفِقُوا مِنْ خَيْرٍ فَلأنْفُسِكُمْ وَمَا تُنْفِقُونَ إِلاَّ ابْتِغَاءَ وَجْهِ اللهِ وَمَا تُنْفِقُوا مِنْ خَيْرٍ يُوَفَّ إِلَيْكُمْ وَأنْتُمْ لاَ تُظْلَمُونَ﴾ [ البقرة: 272 ]

وقال تَعَالَى: ﴿وَمَا تُنْفِقُوا مِنْ خَيْرٍ فإنَّ اللهَ بِهِ عَلِيمٌ﴾ [ البقرة: 273 ]


شرح الحديث على آيات الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



60. MLANGO WA UKARIM, UFADHILI NA KUTOA KATIKA NJIA ZA KHERI KWA KUMUANI ALLAH MTUKUFU.


Mwenyezi Mungu Amesema: [Na chochote mtakacho kitoa Yeye atakilipa. [34:39].

Mwenyezi Mungu Amesema: [Na kheri yoyote mnayo toa ni kwa nafsi zenu. Wala msitoe ila kwa kutafuta wajihi wa Mwenyezi Mungu. Na kheri yoyote mtakayo toa mtalipwa kwa ukamilifu, wala hamtadhulumiwa.] [2:272].

Mwenyezi Mungu Amesema: [Na kheri yoyote mnayo toa, basi kwa yakini Mwenyezi Mungu anaijua.] [2:273].


Begin typing your search above and press return to search.