July 19, 2023
0 Comments
باب الورع وترك الشبهات
وعن عَطِيَّةَ بن عُروة السَّعْدِيِّ الصحابيِّ – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم -: { لاَ يَبْلُغُ الْعَبدُ أنْ يَكُونَ منَ المُتَّقِينَ حَتَّى يَدَعَ مَا لاَ بَأسَ بِهِ، حَذَراً مِمَّا بِهِ بَأسٌ}
رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن}
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
68. MLANGO WA UCHAMUNGU NA KUACHA SHUBHA (YENYE KUTIA SHAKA)
Imepokewa kutoka kwa Atiyyah bin ‘Urwah as-Sa’dy ambaye ni Swahaba (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Mja hawezi kufikia kuwa miongoni mwa wachamungu mpaka aliache lisilo na ubaya kwa ajili ya kutahadhari lenye ubaya.” [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]