0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

593. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Uchamungu Na Kuacha Shubha ( Yenye Kutia Shaka)

باب الورع وترك الشبهات


وعن عائشة – رضي الله عنها -، قالت: كَانَ لأبي بَكر الصديق – رضي الله عنه – غُلاَمٌ يُخْرِجُ لَهُ الخَرَاجَ، وَكَانَ أَبُو بَكْرٍ يَأكُلُ مِنْ خَرَاجِهِ، فَجَاءَ يَوْماً بِشَيءٍ، فَأكَلَ مِنْهُ أَبُو بَكْرٍ، فَقَالَ لَهُ الغُلامُ: تَدْرِي مَا هَذَا؟ فَقَالَ أَبُو بكر: وَمَا هُوَ؟ قَالَ: كُنْتُ تَكَهَّنْتُ لإنْسَانٍ في الجَاهِلِيَّةِ وَمَا أُحْسِنُ الكَهَانَةَ، إِلاَّ أنّي خَدَعْتُهُ، فَلَقِيَنِي، فَأعْطَانِي لِذلِكَ، هَذَا الَّذِي أكَلْتَ مِنْهُ، فَأدْخَلَ أَبُو بَكْرٍ يَدَهُ فَقَاءَ كُلَّ شَيْءٍ فِي بَطْنِهِ.     رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



68. MLANGO WA UCHAMUNGU NA KUACHA SHUBHA (YENYE KUTIA SHAKA)


Imepokewa kutoka kwa ‘Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia: “Abûbakar asSiddîq (Radhi za Allah ziwe juu yake) alikuwa ana mtumwa akimtoza kodi. Abûbakar alikuwa akila kodi yake. Siku moja akaja na kitu, Abûbakar akakila. Yule mtumwa akamwuliza: “Wajua ni kitu gani hiki?” Abûbakar akamwuliza: “Ni kitu gani?” Akamwambia: “Katika zama za ujahiliya nilimfanyia mtu uganga nami nilikuwa sijui uganga lakini nilimhadaa. Akakutana nami, akanipa (kitu) kwa sababu ya uganga ule. Hiki ulichokila kinatokana na uganga huo.” Abûbakar akakiingiza kidole chake mdomoni mwake, akatapika kila kilichokuwa tumboni mwake.”   [ Imepokewa na Bukhari ]


Begin typing your search above and press return to search.