0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

591. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Uchamungu Na Kuacha Shubha ( Yenye Kutia Shaka)

باب الورع وترك الشبهات


وعن أَبي سِرْوَعَةَ – بكسر السين المهملة وفتحها – عُقبَةَ بنِ الحارِثِ – رضي الله عنه -: أنَّهُ تَزَوَّجَ ابنَةً لأبي إهَابِ بن عزيزٍ، فَأتَتْهُ امْرَأةٌ، فَقَالَتْ: إنّي قَدْ أرضَعْتُ عُقْبَةَ وَالَّتِي قَدْ تَزَوَّجَ بِهَا. فَقَالَ لَهَا عُقْبَةُ: مَا أعْلَمُ أنَّك أرضَعْتِنِي وَلاَ أخْبَرْتِني، فَرَكِبَ إِلَى رسول الله – صلى الله عليه وسلم -ِ بِالمَدِينَةِ، فَسَأَلَهُ: فَقَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { كَيْفَ؟ وَقَد قِيلَ} فَفَارَقَهَا عُقْبَةُ وَنَكَحَتْ زَوْجاً غَيْرَهُ.      رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



68. MLANGO WA UCHAMUNGU NA KUACHA SHUBHA (YENYE KUTIA SHAKA)


Imepokewa kutoka kwa Abû Sirwa‘ah, ‘Uqba bin al-Hârith (Radhi za Allah ziwe juu yao) anaeleza kuwa yeye alimuowa Ummu Yahya binti Abû Ihâb bin ‘Azîz. Akaja mwanamke, akasema: “Mimi nimemnyonyesha ‘Uqbah na aliemuowa.” ‘Uqbah akamwambia: “Sijui kama umeninyonyesha wala hukuniambia.” Akamwendea Mtume Madina, akamwuliza kuhusu jambo hili, Mtume akamwambia: “Itakuwaje (ubaki naye) na kushasema? (kuwa amewanyonyesha?”)  ‘Uqbah akamtaliki, akaolewa na bwana mwengine.   [ Imepokewa na Bukhârî.]


Begin typing your search above and press return to search.