0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

586. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukaraha Kutamani Mauti Kwa Sababu Ya Kupatwa Na Madhara Wala Hapana Ubaya Kwa Kutelea Fitna Katika Dini

بابُ كراهة تمنّي الموت بسبب ضُرّ نزل بِهِ وَلاَ بأس بِهِ لخوف الفتنة في الدين


وعن قيسِ بن أَبي حازم، قَالَ: دَخَلْنَا عَلَى خَبَّاب بن الأرَتِّ – رضي الله عنه – نَعُودُهُ وَقَدِ اكْتَوَى سَبْعَ كَيَّاتٍ، فَقَالَ: إنَّ أَصْحَابَنَا الَّذِينَ سَلَفُوا مَضَوْا، وَلَمْ تَنْقُصْهُمُ الدُّنْيَا، وَإنَّا أصَبْنَا مَا لاَ نَجِدُ لَهُ مَوْضِعاً إِلاَّ التُّرَابَ وَلولا أنَّ النبي – صلى الله عليه وسلم – نَهَانَا أنْ نَدْعُوَ بالمَوْتِ لَدَعَوْتُ بِهِ. ثُمَّ أتَيْنَاهُ مَرَّةً أُخْرَى وَهُوَ يَبْنِي حَائِطاً لَهُ، فَقَالَ: إنَّ المُسْلِمَ لَيُؤْجَرُ فِي كُلِّ شَيْءٍ يُنْفِقُهُ إِلاَّ فِي شَيْءٍ يَجْعَلُهُ في هَذَا التُّرَابِ.       متفقٌ عَلَيْهِ،

وهذا لفظ رواية البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



67. MLANGO WA UKARAHA WA KUTAMANI MAUTI KWA SABABU YA KUPATWA NA MADHARA, WALA HAPANA UBAYA (KUYATAMANI) KWA KUCHELEA MATATIZO KATIKA DINI


Imepokewa kutoka kwa Qais bin Abî Hâzim amesimulia: “Tulienda kwa Khabbâb bin al-Aratti (Radhi za Allah ziwe juu yao) kumzuru, alikuwa amepishwa (kwa moto) sehemu saba. Akasema: “Hakika wenzetu waliotangulia wamepita, na dunia haikuwapunguzia chochote. Kwa hakika sisi tumepata (mali) ambayo hatuna pa kuyaweka ila mchangani. Lau kama Mtume asingalitukataza kuomba mauti, ningaliyaomba.” Kisha tukamzuru mara nyingine na alikuwa akijenga ukuta wake. Akatwambia: “Hakika Muislamu hupewa ujira katika kila anachokitoa ila katika anachokitia katika mchanga huu.”    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.