July 17, 2023
0 Comments
باب ذكر الموت وقصر الأمل
وعن أنس – رضي الله عنه -، قَالَ: خَطَّ النَّبيُّ – صلى الله عليه وسلم – خُطُوطاً، فَقَالَ: { هَذَا الإنْسَانُ، وَهَذَا أجَلُهُ، فَبَيْنَمَا هُوَ كَذَلِكَ إذْ جَاءَ الخَطُّ الأَقْرَبُ} رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ alichora misitari, akasema: “Huyu ni mwanadamu, haya ndio mauti yake, alipokuwa yu katika hali hiyo, mara kwa ghafula akajiwa na msitari huu ulio karibu (wa mauti).” [ Imepokewa na Bukhârî.]