0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

573. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kukumbuka Mauti na kupunguza Tamaa.

باب ذكر الموت وقصر الأمل


وعن ابن عمررضي الله عنهما -، قَالَ: أخذ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – بِمِنْكَبي، فَقَالَ: { كُنْ في الدُّنْيَا كَأَنَّكَ غَرِيبٌ أَوْ عَابِرُ سَبِيلٍ}

وَكَانَ ابْنُ عُمَرَ – رضي الله عنهما -، يقول: إِذَا أمْسَيْتَ فَلاَ تَنْتَظِرِ الصَّبَاحَ، وَإِذَا أصْبَحتَ فَلاَ تَنْتَظِرِ المَسَاءَ، وَخُذْ مِنْ صِحَّتِكَ لِمَرَضِكَ، وَمِنْ حَيَاتِكَ لِمَوْتِكَ

رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Mtume alinishika mabega yangu, akaniambia: “Kuwa – katika dunia – kana kwamba ni mgeni au mpita njia.”

Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao) alikuwa akisema: “Unapofikia jioni usingoje asubuhi, na ukipambaukiwa usingoje jioni, jiandalie afya yako kwa ajili ya ugonjwa wako na uhai wako kwa kifo chako.”   [Imepokewa na Bukhârî.]

Begin typing your search above and press return to search.