0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

572. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ubora Wa Tajiri Anaeshukuru Naye Ni Anaechuwa Mali Kwa Njia Zake Na Akatumia Katika Njia Alizoamrishwa.

باب فضل الغَنِيّ الشاكر وهو من أخذ المال من وجهه وصرفه في وجوهه المأمور بِهَا


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -: أنَّ فُقَراءَ المُهَاجِرينَ أتَوْا رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، فَقَالُوا: ذَهَبَ أهْلُ الدُّثُورِ بِالدَّرَجَاتِ العُلَى، وَالنَّعِيم المُقيم، فَقَالَ: { وَمَا ذَاك؟)) فَقَالوا: يُصَلُّونَ كَمَا نُصَلِّي، وَيَصُومُونَ كَمَا نَصُومُ، وَيَتَصَدَّقُونَ وَلاَ نَتَصَدَّقُ، وَيَعْتِقُونَ وَلاَ نَعْتِقُ، فَقَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { أفَلا أُعَلِّمُكُمْ شَيْئاً تُدْرِكُونَ بِهِ مَنْ سَبَقَكُمْ، وَتَسْبِقُونَ بِهِ مَنْ بَعْدَكُمْ، وَلاَ يَكُونُ أحَدٌ أفْضَلَ مِنْكُمْ إِلاَّ مَنْ صَنَعَ مِثْلَ مَا صَنَعْتُمْ؟} قالوا: بَلَى يَا رسول الله، قَالَ: { تُسَبِّحُونَ وَتُكَبِّرُونَ وَتَحْمِدُونَ، دُبُرَ كُلِّ صَلاَةٍ ثَلاثاً وَثَلاثِينَ مَرَّةً} فَرَجَعَ فُقَرَاء المُهَاجِرِينَ إِلَى رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، فقالوا: سَمِعَ إخْوَانُنَا أهلُ الأمْوالِ بِمَا فَعَلْنَا، فَفَعَلُوا مِثلَهُ؟ فَقَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { ذَلِكَ فَضْلُ اللهِ يُؤْتِيهِ مَنْ يَشَاءُ}    متفقٌ عَلَيْهِ، وَهَذا لفظ رواية مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia kuwa mafukara wa ki-Muhajirina walimwendea Mtume wakamwabia: “Wenye mali wamepata daraja kubwa kubwa na neema za milele.” Akawauliza: Kwa nini iwe hivyo?” Wakajibu: “Wanaswali kama tunavyoswali, wanafunga kama tunavyofunga, wanatoa sadaka wala hatutoi sadaka na wanaacha watumwa huru wala hatuachi watumwa huru!” Mtume akwauliza: “Je, niwafundishe jambo ambalo kwalo mutawadiriki waliowatangulia na mutawatangulia kwalo walio baada yenu? Wala hakuna yeyote atakaye kuwa bora  kuwaliko nyinyi ela atakayefanya mithili ya mufanyavyo?” Wakajibu: “Tufundishe, Yâ Rasûlallâh!” Akawaambia: “Mutasabihi, mutahimidi, mutapiga Takbîr baada ya kila Swala mara 33.”

Mafukara wa ki-Muhajirina wakamrudia tena Mtume  , wakamwambia: “Ndugu zetu wenye mali wamesikia tunayofanya, nao wakafanya kama hivyo!” Mtume akawaambia: “Hiyo ni fadhila ya Allâh Humpa Amtakaye.”    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim Hadîth hii ni kwa lafdhi ya Muslim.]

Begin typing your search above and press return to search.