0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

569. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kushindana Katika Mambo Ya Akhera Na Kujizidishia Yanayotabarukiwa.

باب التنافس في أمور الآخرة والاستكثار مما يتبرك بِهِ


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، عن النبي – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: بين مِنْ ذَهَبٍ، فَجَعَلَ أيُّوبُ يَحْثِي في ثَوْبِهِ، فَنَادَاهُ رَبُّهُ – عز وجل -: يَا أيُّوبُ، ألَمْ أكُنْ أغْنَيتكَ عَمَّا تَرَى؟! قَالَ: بَلَى وَعِزَّتِكَ وَلَكِنْ لاَ غِنى بي عن بَرَكَتِكَ}   رواه البخاري.


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amehadithia kuwa Mtume amesimulia: “(Nabii) Ayubu (Amani ya Mungu iwe juu yake) alipokuwa akioga bila ya nguo, mara akaangukiwa na nzige wa dhahabu, Ayubu akawa akiwatia nguoni mwake. Mola wake – Aliyeshinda na Kutukuka –  Akamnadia: “Ee Ayubu, kwani Sikukutosheleza na hivyo unavyoviona?” Akamjibu: “Naapa kwa Utukufu Wako, Umenitosheleza, lakini sina namna ya kutozihitajia Baraka Zako.”   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]

Begin typing your search above and press return to search.