0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

564. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kumtanguliza Mwenzio Na Kufarijian.

باب الإيثار والمواساة


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { طَعَامُ الاثْنَيْنِ كَافِي الثَّلاَثَةِ، وَطَعَامُ الثَّلاَثَةِ كَافِي الأربَعَةِ}    متفقٌ عَلَيْهِ

وفي رواية لمسلمٍ عن جابر – رضي الله عنه -، عن النبي – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { طَعَامُ الوَاحِدِ يَكْفِي الاثْنَيْنِ، وَطَعَامُ الاثْنَيْنِ يَكْفِي الأَرْبَعَةَ، وَطَعَامُ الأَرْبَعَة يَكْفِي الثَّمَانِية}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Chakula cha watu wawili huwatosheleza watatu, na chakula cha watatu huwatosheleza wanne.”   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]

Riwaya nyingine ya Muslim, imepokewa kutoka kwa Jâbir (Radhi za Allah ziwe juu yake)  kutoka kwa Mtume amesema: “Chakula cha mtu mmoja huwatosheleza wawili, chakula cha wawili huwatosheleza wanne na chakula cha wanne huwatosheleza wanane.”

Begin typing your search above and press return to search.