0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

558. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukarimu Ufadhili Na Kutoa Katika Njia Za Kheri Kwa Kumwamini Allah Mtukufu.

باب الكرم والجود والإنفاق في وجوه الخير ثقةً بالله تعالى


وعن أسماء بنت أَبي بكرٍ الصديق – رضي الله عنهما -، قالت: قَالَ لي رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { لاَ تُوكِي فَيُوكى عَلَيْكِ

وفي رواية: { أنفقي أَوِ انْفَحِي، أَوْ انْضَحِي، وَلاَ تُحصي فَيُحْصِي اللهُ عَلَيْكِ، وَلاَ تُوعي فَيُوعي اللهُ عَلَيْكِ}   متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Asmâ binti Abûbakar asSiddîq (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Mtume ﷺ aliniambia: “Usizuwie kwani nawe utazuiliwa.”

 Riwaya nyingine imesema: “Toa wala usizuwie mali, kwani Allâh Atakuzuilia, wala usidhibiti hisabu, kwani Allâh Atakudhibitia, wala usizuwie kilichobaki kwani Allâh Atakuzuilia.”  [ wameafikiana Bukhari na Muslim]

Begin typing your search above and press return to search.