0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

554. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukarimu Ufadhili Na Kutoa Katika Njia Za Kheri Kwa Kumwamini Allah Mtukufu.

باب الكرم والجود والإنفاق في وجوه الخير ثقةً بالله تعالى


وعن جبير بن مطعم – رضي الله عنه -، قَالَ: بَيْنَمَا هُوَ يَسِيرُ مَعَ النَّبيِّ – صلى الله عليه وسلم – مَقْفَلَهُ مِنْ حُنَيْن، فَعَلِقَهُ الأعْرَابُ يَسْألُونَهُ، حَتَّى اضْطَرُّوهُ إِلَى سَمُرَة، فَخَطِفَت رِدَاءهُ، فَوَقَفَ النَّبيُّ – صلى الله عليه وسلم -، فقال: { أعْطُوني رِدَائي، فَلَوْ كَانَ لِي عَدَدُ هذِهِ العِضَاهِ نَعَماً، لَقَسَمْتُهُ بَينَكُمْ، ثُمَّ لا تَجِدُونِي بَخِيلاً وَلاَ كَذّاباً وَلاَ جَبَاناً}    رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Jubair bin Mut‘im (Radhi za Allah ziwe juu yake) amehadithia kuwa, alipokuwa akitembea pamoja na Mtume ﷺ wakirudi kutoka Hunain, mara mabedui wakamwegema wakimwomba, hata wakampeleka katika mti wa samura (aina ya mti wenye miba), wakaichukua shuka yake. Mtume ﷺ  akasimama, akawaambia: “Nipeni shuka yangu. Lau kama ningalikuwa nina ngamia idadi ya michongoma (mti wenye miba) hii ningaliwagawia, kisha musingalinikuta kuwa ni bakhili, wala ni mwongo wala ni mwoga.”      [ Imepokewa na Bukhari  ].

Begin typing your search above and press return to search.