0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

553. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukarimu Ufadhili Na Kutoa Katika Njia Za Kheri Kwa Kumwamini Allah Mtukufu.

باب الكرم والجود والإنفاق في وجوه الخير ثقةً بالله تعالى


وعن عمر – رضي الله عنه -، قَالَ: قسم رسول الله – صلى الله عليه وسلم – قَسْماً، فَقُلْتُ: يَا رسولَ الله، لَغَيْرُ هؤلاَءِ كَانُوا أحَقَّ بِهِ مِنْهُمْ؟ فَقَالَ: { إنَّهُمْ خَيرُونِي أنْ يَسألُوني بالفُحْشِ، أَوْ يُبَخِّلُونِي، وَلَسْتُ بِبَاخِلٍ}     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Siku moja Mtume ﷺ aligawa mgao. Nikamwambia: “Yâ Rasûlallâh, wasiokuwa hawa walikuwa wana haki zaidi ya kupewa kuliko kuwapa watu hawa!” Akasema: “Hakika watu hawa wamenifanya ima waniombe kwa njia mbaya (na niwape) au waniite bakhili, nami si bakhili.”     [ Imepokewa na Muslim  ].

Begin typing your search above and press return to search.