0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

552. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukarimu Ufadhili Na Kutoa Katika Njia Za Kheri Kwa Kumwamini Allah Mtukufu.

باب الكرم والجود والإنفاق في وجوه الخير ثقةً بالله تعالى


وعن أنسٍ – رضي الله عنه -، قَالَ: مَا سُئِلَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم – عَلَى الإسْلاَمِ شَيْئاً إِلاَّ أعْطَاهُ، وَلَقَدْ جَاءهُ رَجُلٌ، فَأعْطَاهُ غَنَماً بَيْنَ جَبَلَيْنِ، فَرجَعَ إِلَى قَوْمِهِ، فَقَالَ: يَا قَوْمِ، أسْلِمُوا فإِنَّ مُحَمَّداً يُعطِي عَطَاءَ مَن لا يَخْشَى الفَقْر، وَإنْ كَانَ الرَّجُلُ لَيُسْلِمُ مَا يُريدُ إِلاَّ الدُّنْيَا، فَمَا يَلْبَثُ إِلاَّ يَسِيراً حَتَّى يَكُونَ الإسْلاَمُ أحَبَّ إِلَيْهِ مِنَ الدُّنْيَا وَمَا عَلَيْهَا.     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ hakuombwa kitu juu ya Uislamu ela hutoa. Siku moja alijiwa na mtu, akampa mbuzi waliojaa baina ya majabali mawili, yule mtu akarudi kwa jamaa zake, akawaambia: “Enyi jamaa zangu, silimuni! Hakika Muhammad hutoa mali wala haogopi ufukara.” Mtu alikuwa akisilimu hana lengo lingine ila ni dunia tu, basi hapitishi mda mrefu, Uislamu huwa ndio bora kwake kuliko dunia na viliomo.”     [ Imepokewa na Muslim  ].

Begin typing your search above and press return to search.