0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

550. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukarimu Ufadhili Na Kutoa Katika Njia Za Kheri Kwa Kumwamini Allah Mtukufu.

باب الكرم والجود والإنفاق في وجوه الخير ثقةً بالله تعالى


وعن عبد اللهِ بن عمرو بن العاص – رضي الله عنهما قال -:قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { أرْبَعُونَ خَصْلَةً: أعْلاهَا مَنِيحةُ العَنْزِ، مَا مِنْ عَامِلٍ يَعْمَلُ بخَصْلَةٍ مِنْهَا؛ رَجَاءَ ثَوَابهَا وَتَصْدِيقَ مَوْعُودِهَا، إِلاَّ أدْخَلَهُ الله تَعَالَى بِهَا الجَنَّةَ}  رواه البخاري

وقد سبق بيان هَذَا الحديث في باب بَيَانِ كَثْرَةِ طُرُقِ الخَيْرِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Amri bin al-‘Âs (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Kuna mambo arubaini ya wema, la juu zaidi ni mtu akopeshe mbuzi wake. Hakuna yeyote atakayetenda mojawapo katika hayo kwa kutarajia thawabu zake na kusadikisha waadi wake ispokuwa Allâh Atamuingiza Peponi.”   [ Imepokewa na Bukhari  ].

Begin typing your search above and press return to search.