0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

544. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukarimu Ufadhili Na Kutoa Katika Njia Za Kheri Kwa Kumwamini Allah Mtukufu.

باب الكرم والجود والإنفاق في وجوه الخير ثقةً بالله تعالى


وعن ابن مسعود – رضي الله قَالَ: قَالَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم -: { أيُّكُم مَالُ وَارِثِهِ أحبُّ إِلَيْهِ مِنْ مَالِهِ؟} قالوا: يَا رسول اللهِ، مَا مِنَّا أحَدٌ إِلاَّ مَالُهُ أحَبُّ إِلَيْهِ. قَالَ: { فإنَّ مَالَهُ مَا قَدَّمَ وَمَالَ وَارِثِهِ مَا أخَّرَ}     رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin Mas‘ûd (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ aliuliza: “Ni nani kati yenu anaependezewa mno na mali ya warithi wake kuliko mali yake? Maswahaba wakajibu: “Yâ Rasûlallâh, kila mmoja wetu mali yake yanampendezea mno.” Akawaambia: “Hakika mali yake ni ile aliyoitanguliza, na mali ya warithi wake ni aliyoiakhirisha.”           [ Imepokewa na Bukhari  ].

Begin typing your search above and press return to search.