July 3, 2023
0 Comments
باب الكرم والجود والإنفاق في وجوه الخير ثقةً بالله تعالى
وعن ابن مسعود – رضي الله عنه -، عن النبيِّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: { لا حَسَدَ إِلاَّ في اثْنَتَيْنِ: رَجُلٌ آتَاهُ اللهُ مَالاً، فَسَلَّطَهُ عَلَى هَلَكَتِهِ في الحَقّ، وَرَجُلٌ آتَاهُ اللهُ حِكْمَةً، فَهُوَ يَقْضِي بِهَا ويُعَلِّمُهَا} متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin Mas‘ûd (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Hakuna wa kuonewa wivu ila watu wawili: mtu aliepewa mali na Allâh, akaitumia katika kuitoa katika haki, na mtu aliepewa hekima na Allâh, akawa anahukumu kwayo na anaifundisha.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].