0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

538. Riyadhu Swalihina Mlango Wa mahimizo ya mtu kula kutokana na kazi ya mkono wake Kujizuwia kuomba …..

باب الحث عَلَى الأكل من عمل يده والتعفف به عن السؤال والتعرض للإعطاء


وعن أَبي عبد الله الزبير بن العَوَّام – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { لأَنْ يَأخُذَ أحَدُكُمْ أحبُلَهُ ثُمَّ يَأتِيَ الجَبَلَ، فَيَأْتِيَ بحُزمَةٍ مِنْ حَطَب عَلَى ظَهْرِهِ فَيَبِيعَهَا، فَيكُفّ اللهُ بِهَا وَجْهَهُ، خَيْرٌ لَهُ مِنْ أنْ يَسْألَ النَّاسَ، أعْطَوْهُ أَوْ مَنَعُوهُ}     رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Abdillâh, az-Zubair bin al-‘Awwâm (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Mtume amesema: “Mmoja wenu achukue kamba zake, kisha aende mlimani aje na tita la kuni alilolibeba mgongoni mwake na aliuze, iwe ndio sababu ya Allâh kuukinga uso wake (na kuomba), ni bora kwake kuliko kuwaomba watu, wampe au wamnyime.”   [ Imepokewa na Bukhari ].

Begin typing your search above and press return to search.