0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

532. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukinaifu, Kujizuiya Kuomba Kufanya Iktisadi Katika Maisha….

باب القناعة والعَفاف والاقتصاد في المعيشة والإنفاق وذم السؤال من غير ضرورة


وعن سَمُرَةَ بنِ جُنْدبٍ – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: { إنَّ المَسْأَلَةَ كَدٌّ يَكُدُّ بِهَا الرَّجُلُ وَجْهَهُ، إِلاَّ أنْ يَسْأَلَ الرَّجُلُ سُلْطاناً أَوْ في أمْرٍ لاَ بُدَّ مِنْهُ}     رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Samurah bin Jundub (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume amesema: “Hakika kuomba ni mkwaruzo ambao mtu hujikwaruza usoni mwake, ispokuwa mtu amuombe mtawala au aombe katika jambo lisilokuwa na budi.”    [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]

Begin typing your search above and press return to search.