0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

522. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Ukinaifu, Kujizuiyz Kuomba Kufanya Iktisadi Katika Maisha….

باب القناعة والعَفاف والاقتصاد في المعيشة والإنفاق وذم السؤال من غير ضرورة


وعن عبد الله بن عمرو – رضي الله عنهما -: أنَّ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {قَدْ أفْلَحَ مَنْ أسْلَمَ، وَرُزِقَ كَفَافاً، وقَنَّعَهُ الله بِمَا آتَاهُ}     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abdullâh bin ‘Amri bin al-‘Âs (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume amesema: “Hakika ameshafaulu mtu aliesilimu, riziki yake ikawa ni kadiri ya haja, na Allâh Akamjaalia kutosheka na Alichomruzuku.”   [ Imepokewa na Muslim]

Begin typing your search above and press return to search.