0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

512. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Njaa, Maisha Ya Chini Kutosheka Kwa Vichache Katika Vyakula…..

 باب فضل الجوع وخشونة العيش والاقتصار عَلَى القليل من المأكول والمشروب والملبوس وغيرها من حظوظ النفس وترك الشهوات


وعن أَبي محمدٍ فضَالَة بن عبيدٍ الأنصاريِّ – رضي الله عنه -: أنه سمع رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، يقول: {طُوبَى لِمَنْ هُدِيَ لِلإسْلاَمِ، وَكَانَ عَيْشُهُ كَفَافاً وَقَنِعَ}    رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Muhammad, Fadhâlah bin ‘Ubaid al-Ansâry (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema kuwa amemsikia Mtume ﷺ akisema: “Furaha ni ya yule aliyeongozwa katika Uislamu, maisha yake yakawa ni ya kadiri na akatosheka.”    [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]

Begin typing your search above and press return to search.