0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

510. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Njaa, Maisha Ya Chini Kutosheka Kwa Vichache Katika Vyakula…..

 باب فضل الجوع وخشونة العيش والاقتصار عَلَى القليل من المأكول والمشروب والملبوس وغيرها من حظوظ النفس وترك الشهوات


وعن عُبيْدِ الله بنِ محْصن الأَنصَارِيِّ الخطميِّ – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: {مَنْ أصْبَحَ مِنْكُمْ آمِناً في سربِهِ، مُعَافَىً في جَسَدِهِ، عِنْدَهُ قُوتُ يَوْمِهِ، فَكَأنَّمَا حِيزَتْ لَهُ الدُّنْيَا بِحَذَافِيرِهَا  رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Ubaidullâh bin Mihsan al-Ansâry al-Khatmy (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Anaepambaukiwa miongoni mwenu ilihali ana amani katika nafsi yake, ameepushiwa balaa katika mwili wake, anacho chakula cha siku yake, basi ni kana kwamba amepewa dunia nzima.”     [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Gharîb.]

Begin typing your search above and press return to search.