0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

504. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Njaa, Maisha Ya Chini Kutosheka Kwa Vichache Katika Vyakula…..

 باب فضل الجوع وخشونة العيش والاقتصار عَلَى القليل من المأكول والمشروب والملبوس وغيرها من حظوظ النفس وترك الشهوات


وعن أنسٍ – رضي الله عنه -، قَالَ: رَهَنَ النَّبيُّ – صلى الله عليه وسلم – دِرْعَهُ بِشَعِيرٍ، وَمَشَيْتُ إِلَى النَّبيِّ – صلى الله عليه وسلم – بخُبْزِ شَعِيرٍ وَإهَالَة سَنِخَةٍ، وَلَقَدْ سَمِعْتُهُ يَقُولُ: {مَا أصْبَحَ لآلِ مُحَمّدٍ صَاعٌ وَلاَ أمْسَى} وَإنَّهُمْ لَتِسْعَةُ أبيَات.    رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amehadithia: “Mtume ﷺ aliiweka rahani deraya yake kwa shayiri, na nikampelekea Mtume ﷺ mkate wa shayiri na kitoweo cha mafuta yaliobadilika harufu (kwa kukaa mda mrefu). Na nikamsikia akisema: “Familia ya Muhammad hawana chakula hata pishi moja asubuhi wala jioni.” Nao walikuwa ni nyumba tisa.”      [ Imepokewa na Bukhari ]

Begin typing your search above and press return to search.