0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

493. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Njaa, Maisha Ya Chini Kutosheka Kwa Vichache Katika Vyakula…..

 باب فضل الجوع وخشونة العيش والاقتصار عَلَى القليل من المأكول والمشروب والملبوس وغيرها من حظوظ النفس وترك الشهوات


وعن أنس – رضي الله عنهقَالَ: لَمْ يَأكُلِ النَّبيُّ – صلى الله عليه وسلم – عَلَى خِوَانٍ حَتَّى مَاتَ، وَمَا أكَلَ خُبْزاً مُرَقَّقاً حَتَّى مَاتَ.     رواه البخاري

وفي رواية لَهُ: وَلاَ رَأى شَاةً سَمِيطاً بعَيْنِهِ قَطُّ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ hakuwahi kula juu ya meza mpaka akafariki, wala hakuwahi kula mkate laini mpaka akafariki.”  [ Imepokewa na Bukhârî.]
Riwaya yake nyingine imesema: “Wala hakuona katu mbuzi samiti (ni mbuzi aliyeondolewa nywele zake kwa maji-moto) kwa jicho lake.”


Begin typing your search above and press return to search.