0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

488. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kuipa Mgongo Dunia, Mahimizo Ya Kuwa Nao Kwa Uchache Na Fadhila Ya Ufukara.

باب فضل الزهد في الدنيا والحث عَلَى التقلل منها وفضل الفقر


عن أسامة بن زيد – رضي الله عنهما -، عن النبي – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {قُمْتُ عَلَى بَابِ الجَنَّةِ، فَكَانَ عَامَّةُ مَنْ دَخَلَهَا المَسَاكِينُ، وَأصْحَابُ الجَدِّ مَحبُوسُونَ، غَيْرَ أنَّ أصْحَابِ النَّارِ قَدْ أُمِرَ بِهِم إِلَى النَّارِ}   متفقٌ عَلَيْهِ

وَ{الجَدُّ}: الحَظُّ والغِنَى. وقد سبق بيان هَذَا الحديث في باب فَضْلِ الضَّعفَة


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Usâmah bin Zaid (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume  amesema: [ Nilisimama katika mlango wa Pepo, nikawaona wengi wa walioingia ni masikini ilihali matajiri wamezuiliwa (hawajapewa ruhusa ya kuingia), ela watu wa motoni wameshaamriwa kuingizwa motoni.]    [Wmeafikiana Bukhari na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.