0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

454. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kulia Kwa Kumuogopa Mwenyezi Mungu Na Kuwa Na Shauku Ya Kukutana Naye.)

باب فضل البكاء من خشية الله تَعَالَى وشوقاً إِليه


وعن إبراهيم بن عبد الرحمان بن عوف: أنَّ عبد الرحمان بن عوف – رضي الله عنه – أُتِيَ بطعام وكان صائِماً، فقال: قُتِلَ مُصْعَبُ بن عُمَيْر – رضي الله عنه -، وَهُوَ خَيْرٌ مِنِّي، فَلَمْ يوجَدْ له مَا يُكَفَّنُ فيهِ إِلاَّ بُرْدَةٌ إنْ غُطِّيَ بِهَا رَأسُهُ بَدَتْ رِجْلاهُ؛ وَإنْ غُطِّيَ بِهَا رِجْلاَهُ بَدَا رَأسُهُ، ثُمَّ بُسِطَ لَنَا مِنَ الدُّنْيَا مَا بُسِطَ – أَو قَالَ: أُعْطِينَا مِنَ الدُّنْيَا مَا أُعْطِينَا – قَدْ خَشِينا أنْ تَكُونَ حَسَنَاتُنَا عُجِّلَتْ لَنَا، ثُمَّ جَعَلَ يَبكِي حَتَّى تَرَكَ الطعَام.         رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Ibrâhîm bin ‘Abdurrahmân bin ‘Awf, amehadithia kuwa ‘Abdurrahmân bin ‘Awf (Radhi za Allah ziwe juu yake) aliletewa chakula na alikuwa amefunga, akasema: “Mus‘ab bin ‘Umair (Radhi za Allah ziwe juu yake) aliuliwa naye ni mbora kuniliko na wala hakikupatikana cha kukafiniwa ispokuwa shuka, akifunikwa kichwa miguu yake inaonekana, akifunikwa miguu kichwa kinaonekana. Halafu tukafunguliwa dunia jinsi ilivyofunguliwa. Au alisema: Tukapewa dunia kiasi tulivyopewa. Hakika twakhofia isije ikawa mema yetu tunalipwa papa hapa duniani (Akhira hatuna kitu)! Kisha akaanza kulia mpaka akaacha kula. [ Imepokewa na Bukhârî.]


Begin typing your search above and press return to search.