0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

445. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila Ya Kutaraji (Rehema Za Mwenyezi Mungu.)

باب الجمع بين الخوف والرجاء


وعن ابن مسعود – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رسول الله – صلى الله عليه وسلم -: {الجَنَّةُ أقْرَبُ إِلى أحَدِكُمْ مِنْ شِرَاكِ نَعْلِهِ، وَالنَّارُ مِثْلُ ذلك}    رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Abdullâh bin Mas‘ûd (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume  amesema: [Pepo iko karibu zaidi na mmoja wenu kuliko ukanda wa kiatu chake, na moto pia ni vivyo hivyo.”]    [ Imepokewa na Bukhari. ]


Begin typing your search above and press return to search.