0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

440. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Fadhila ya Kutaraji (Rehema Za Mwenyezi Mungu.)

 باب فضل الرجاء


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -، عن رسول الله – صلى الله عليه وسلم -، أَنَّهُ قَالَ: {قَالَ الله – عز وجل -: أَنَا عِنْدَ ظَنِّ عَبْدِي بِي، وَأَنا معه حَيْثُ يَذْكُرنِي، وَاللهِ، للهُ أفْرَحُ بِتَوبَةِ عَبْدِهِ مِنْ أحَدِكُمْ يَجِدُ ضَالَّتَهُ بالفَلاَةِ، وَمَنْ تَقَرَّبَ إلَيَّ شِبْراً، تَقَرَّبْتُ إِلَيْهِ ذِرَاعاً، وَمَنْ تَقَرَّبَ إِلَيَّ ذِرَاعاً، تَقَرَّبْتُ إِلَيْهِ بَاعاً، وَإِذَا أقْبَلَ إِلَيَّ يَمْشِي أقْبَلْتُ إِلَيْهِ أُهَرْوِلُ}    متفقٌ عليه، وهذا لفظ إحدى روايات مسلم. وتقدم شرحه في الباب قبله  ([273])

ورُوِيَ في الصحيحين: {وأنا معه حين يذكرني} بالنون، وفي هذه الرواية {حيث} بالثاء وكلاهما صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume amesema: “Allâh – ‘Azza Wajalla – Amesema: [ Mimi Niko katika dhana ya mja Wangu anayonidhania, Nami Niko pamoja naye wakati anaponitaja.” Wallahi, Allâh Huifurahia mno toba ya mja Wake kuliko furaha ya mmoja wenu anapompata mnyama wake aliepotea katika jangwa (aliebeba akiba yake yote). [Allâh Amesema_: Na atakayejikaribisha Kwangu kwa shubiri, Nitamkaribia kwa dhiraa, atakayenikaribia kwa dhiraa, Nitamkaribia kwa pima, akinijia kwa kutembea Nami Nitamkimbilia. ]   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.