0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

434. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kutaraji (Rehema Za Mwenyezi Mungu.)

باب الرجاء


وعن ابن مسعود – رضي الله عنه -: أنَّ رَجُلاً أصَابَ مِن امْرَأة قُبْلَةً، فَأتَى النَّبيَّ – صلى الله عليه وسلم – فَأخْبَرَهُ، فَأنْزَلَ الله تَعَالَى: ﴿وَأَقِمِ الصَّلاةَ طَرَفَيِ النَّهَارِ وَزُلَفاً مِنَ اللَّيْلِ إِنَّ الْحَسَنَاتِ يُذْهِبْنَ السَّيِّئَات﴾ [ هود: 114] فَقَالَ الرجل: أَليَ هَذَا يَا رَسُول الله؟ قَالَ: {لجميعِ أُمَّتِي كُلِّهِمْ}   مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka ‘‘Abdullâh bin Mas‘ûd (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia kuwa mtu mmoja alimbusu mwanamke (ambaye si halali yake), kisha akamwendea Mtume ﷺ na akamweleza habari hii. Allâh Akateremsha Aya hii: [ Na simamisha Swala katika ncha mbili za mchana na nyakati za usiku zilizo karibu na mchana. Hakika mema huondoa maovu.] [11:114]. Yule mtu akauliza: “Yâ Rasûlallâh, (Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu) hii ni makhsusi kwa ajili yangu tu?” Akamjibu: [ Ni kwa umati wangu wote.]  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.