0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

433. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kutaraji (Rehema Za Mwenyezi Mungu.)

باب الرجاء


وعن ابن عمر – رضي الله عنهما -، قَالَ: سَمِعْتُ رسولَ الله – صلى الله عليه وسلم -، يقول: {يُدْنَى المُؤْمِنُ يَوْمَ القِيَامَة مِنْ رَبِّهِ حَتَّى يَضَعَ كَنَفَهُ عَلَيهِ، فَيُقَرِّرُهُ بذُنُوبِهِ، فيقولُ: أتعرِفُ ذَنْبَ كَذَا؟ أتَعرفُ ذَنْبَ كَذَا؟ فيقول: رَبِّ أعْرِفُ، قَالَ: فَإنِّي قَدْ سَتَرْتُهَا عَلَيْكَ في الدُّنْيا، وَأنَا أغْفِرُهَا لَكَ اليَومَ، فَيُعْطَى صَحيفَةَ حَسَنَاتِهِ}    مُتَّفَقٌ عَلَيهِ

{كَنَفَهُ}: سَتْرُهُ وَرَحْمَتُهُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka ‘Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: Nilimsikia Mtume akisema: [Mwumini ataletwa karibu na Mola wake Siku ya Qiyama, Naye Atamsitiri, Atamwonyesha dhambi zake, Atamwuliza: “Unaijua dhambi kadha? Unaijua dhambi kadha?” Atajibu: “Mola wangu! Naijua!” Atamwambia: “Mimi Nilikusitiria duniani, na leo Nitakusamehe.” Na atapewa kitabu cha mema yake.”]  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.