0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

430. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kutaraji (Rehema Za Mwenyezi Mungu.)

باب الرجاء


وعن ابن عباس – رضي الله عنهما -، قَالَ: سَمِعْتُ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -، يقول: {مَا مِنْ رَجُلٍ مُسْلِمٍ يَمُوتُ، فَيقُومُ عَلَى جَنَازَتهِ أرْبَعونَ رَجُلاً لاَ يُشْرِكُونَ بِاللهِ شَيئاً، إلاَّ شَفَّعَهُمُ اللهُ فِيهِ}    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka Abdullâh bin ‘Abbâs (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: [ Muislamu yeyote anaekufa, akaswaliwa jeneza yake na watu arubaini wasiomshirikisha Allâh kwa chochote, ni hakika Allâh Atawakubalia dua zao (kumuombea maiti huyo). ]  [ Imepokewa na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.