0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

421. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kutaraji (Rehema Za Mwenyezi Mungu.)

باب الرجاء


عن أبي هريرة رضي الله عنه ، عن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم – فيما يحكِي عن ربهِ تبارك وتعالى، قَالَ: {أذْنَبَ عَبْدٌ ذَنْباً، فَقَالَ: اللَّهُمَّ اغْفِرْ لِي ذَنْبِي، فَقَالَ الله تَبَاركَ وَتَعَالَى: أذنَبَ عبدي ذَنباً، فَعَلِمَ أنَّ لَهُ رَبّاً يَغْفِرُ الذَّنْبَ، وَيَأْخُذُ بالذَّنْبِ، ثُمَّ عَادَ فَأذْنَبَ، فَقَالَ: أيْ رَبِّ اغْفِرْ لِي ذَنْبي، فَقَالَ تبارك وتعالى: أذنَبَ عبدِي ذَنباً، فَعَلِمَ أنَّ لَهُ رَبّاً، يَغْفِرُ الذَّنْبَ، وَيَأْخُذُ بالذَّنْبِ، قَدْ غَفَرْتُ لِعَبْدِي فَلْيَفْعَلْ مَا شَاءَ}    مُتَّفَقٌ عَلَيهِ.

وقوله تَعَالَى: {فَلْيَفْعَلْ مَا شَاءَ} أيْ: مَا دَامَ يَفْعَلُ هكذا، يُذْنِبُ وَيَتُوبُ أغفِرُ لَهُ، فَإنَّ التَّوْبَةَ تَهْدِمُ مَا قَبْلَهَا


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea kutoka kwa Mtume katika anayohadithia kutoka kwa Mola wake Aliyetukuka Amesema: [ Mja ametenda dhambi, akaomba: “Ewe Mola Nighufirie dhambi yangu.” Allâh Akasema: “Mja Wangu ametenda dhambi, na akajua kuwa ana Mola Anayesamehe dhambi na Anayeadhibu kwa dhambi hiyo. Kisha akarudia tena akatenda dhambi, akaomba: “Ewe Mola nighufirie dhambi yangu.” Allâh Akasema: “Mja Wangu ametenda dhambi, na akajua kuwa ana Mola Anayesamehe dhambi na Anayeadhibu kwa dhambi hiyo. Kisha akarudia tena akatenda dhambi, akaomba: “Ewe Mola nighufirie dhambi yangu.” Allâh Akasema: “Mja Wangu ametenda dhambi, na akajua kuwa ana Mola Anayesamehe dhambi na Anayeadhibu kwa dhambi hiyo. Nimemsamehe mja Wangu, na afanye anavyotaka.]   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.