0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

414. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kutaraji (Rehema Za Mwenyezi Mungu.)

باب الرجاء


وعن جابر – رضي الله عنه -، قَالَ: جاء أعرابي إِلَى النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، فَقَالَ: يَا رَسُول الله، مَا الموجِبَتَانِ ؟ قَالَ: {مَنْ مَاتَ لاَ يُشْرِكُ بالله شَيئاً دَخَلَ الجَنَّةَ، وَمَنْ مَاتَ يُشْرِكُ بِهِ شَيْئاً دَخَلَ النَّار}  رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Jâbir (Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Alikuja mbedui hadi kwa Mtume , akamwuliza: “Yâ Rasûlallâh, (Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu) ni jambo gani linalompasisha mtu kuingia Peponi na kumuingiza motoni?” Akamjibu: [ Atakayekufa ilihali hamshirikishi Allâh kwa chochote, ataingia Peponi. Na atakayekufa ilihali anamshirikisha Allâh kwa chochote, ataingia motoni. ]  [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.