0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

407. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kumuogopa Mwenyezi Mungu.

 باب الخوف


وعن أَبي برزة – براء ثُمَّ زاي – نَضْلَة بن عبيد الأسلمي – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {لا تَزُولُ قَدَمَا عَبْدٍ يَومَ القِيَامَةِ حَتَّى يُسْأَلَ عَنْ عُمُرِهِ فِيمَ أفنَاهُ؟ وَعَنْ عِلمِهِ فِيمَ فَعَلَ فِيهِ؟ وَعَنْ مَالِهِ مِنْ أيْنَ اكْتَسَبَهُ؟ وَفيمَ أنْفَقَهُ؟ وَعَنْ جِسمِهِ فِيمَ أبلاهُ؟}    رواه الترمذي، وَقالَ: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Barzah, Nadhlah bin Ubaid al-Aslamy (Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Mtume ﷺ amesema: [ Nyayo za mja, hazitasogea (Siku ya Qiyama) mpaka aulizwe juu ya umri wake alivyoumaliza, ilimu yake alivyoifanyia, mali yake ameichuma kutoka wapi na ameitumia kwa jambo gani, na mwili wake alivyoutumia kwa kazi gani.]  [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.