February 20, 2023
0 Comments
باب الخوف
وعن ابن عمر – رضي الله عنهما -: أنَّ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {يَقُومُ النَّاس لِرَبِّ العَالَمينَ حَتَّى يَغِيبَ أحَدُهُمْ في رَشْحِهِ إِلَى أنْصَافِ أُذُنَيهِ} مُتَّفَقٌ عَلَيهِ
وَ{الرَّشْحُ}: العَرَقُ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: [ Watu (watafufuliwa na) wasimame mbele ya Mola wa viumbe mpaka mmoja wao azame katika jasho lake hadi katikati ya masikio yake. ] [ Wameafikiana Bukhari na Muslim. ]