0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

392. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuwachukulia watu kwa Dhahiri yao na siri zao Kumuachia Allah

باب إجراء أحكام الناس عَلَى الظاهر وسرائرهم إِلَى الله تَعَالَى


وعن أَبي معبد المقداد بن الأسْود – رضي الله عنه -، قَالَ: قُلْتُ لرسول الله – صلى الله عليه وسلم -: أرَأيْتَ إنْ لَقِيتُ رَجُلاً مِنَ الكُفَّارِ، فَاقْتتَلْنَا، فَضَرَبَ إحْدَى يَدَيَّ بِالسَّيْفِ،   فَقَطَعَها، ثُمَّ لاذَ مِنِّي بِشَجَرَةٍ، فَقَالَ: أسْلَمْتُ لِلهِ، أأقْتُلُهُ يَا رَسُول الله بَعْدَ أنْ قَالَهَا؟ فَقَالَ: {لا تَقْتُلهُ} فَقُلْتُ: يَا رَسُول الله، قَطَعَ إحْدَى يَدَيَّ، ثُمَّ قَالَ ذلِكَ بَعْدَ مَا قَطَعَهَا؟! فَقَالَ: {لا تَقتُلْهُ، فإنْ قَتَلْتَهُ فَإنَّهُ بِمَنْزِلَتِكَ قَبْلَ أنْ تَقْتُلَهُ، وَإنَّكَ بِمَنْزِلَتِهِ قَبْلَ أنْ يَقُولَ كَلِمَتَهُ التي قَالَ}    مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Ma’bad, al-Miqdâd bin al-‘Aswad Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: [ Nilimwuliza Mtume : “Niambie, lau nitakutana na mtu katika makafiri, tukapigana, akaukata mkono wangu kwa upanga, halafu akajikinga nami kwa mti na akasema: “Nimesilimu kwa ajili ya Allâh,” je, nimuuwe Yâ Rasûlallâh baada ya kuwa ameshasema neno hilo? Akajibu: Usimwuuwe. Nikamwuliza: Yâ Rasûlallâh, ameukata mkono wangu, kisha akasema hivyo baada ya kuwa ameshaukata? Akasema: Usimwuuwe. Utakapomwuuwa, yeye atakuwa katika daraja yako kabla ya kumwuuwa, nawe utakuwa katika daraja yake kabla yeye hajasema neno lake alilosema.]   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.