0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

390. Riyadhu Swalihina Mlango wa Kuwachukulia watu kwa Dhahiri yao na siri zao Kumuachia Allah

باب إجراء أحكام الناس عَلَى الظاهر وسرائرهم إِلَى الله تَعَالَى


وعن ابن عمر – رضي الله عنهما -: أنَّ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {أُمِرْتُ أنْ أُقَاتِلَ النَّاسَ حَتَّى يَشْهَدُوا أنْ لاَ إلهَ إلاَّ الله، وَأنَّ مُحَمَّداً رَسُول الله، وَيُقيمُوا الصَّلاةَ، وَيُؤتُوا الزَّكَاةَ، فَإِذَا فَعَلُوا ذلِكَ عَصَمُوا مِنِّي دِمَاءهُمْ وَأمْوَالَهُمْ إلاَّ بحَقِّ الإسْلاَمِ، وَحِسَابُهُمْ عَلَى الله تَعَالَى}    مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abdullâh bin Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume amesema: [Nimeamrishwa nipigane na watu mpaka washuhudie kuwa hakuna mola anayestahiki kuabudiwa kwa haki ispokuwa Allâh, na kwamba Muhammad ni Mtume wa Allâh, wasimamishe Swala na watoe Zaka. Watakapofanya hivyo, watahifadhika kutokana nami damu zao na mali yao ispokuwa kwa haki ya Uislamu, na hisabu yao iko kwa Allâh.]   [ Wameafikiana na Bukhari na Muslim]            


Begin typing your search above and press return to search.