0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

39. MLANGO WA HAKI YA JIRANI NA KUMTENDEA WEMA

باب حق الجار والوصية بِهِ


قَالَ الله تَعَالَى: ﴿وَاعْبُدُوا اللهَ وَلا تُشْرِكُوا بِهِ شَيْئاً وَبِالْوَالِدَيْنِ إِحْسَاناً وَبِذِي الْقُرْبَى وَالْيَتَامَى وَالْمَسَاكِينِ وَالْجَارِ ذِي الْقُرْبَى وَالْجَارِ الْجُنُبِ وَالصَّاحِبِ بِالْجَنْبِ وَابْنِ السَّبِيلِ وَمَا مَلَكَتْ أَيْمَانُكُمْ﴾  [ النساء: 36 ]


شرح مقدمة الباب وحديث إبن عمر وعائشة رضي اللَّه عنهما مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



MLANGO WA HAKI YA JIRANI NA KUMTENDEA WEMA


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[ Muabuduni Mwenyezi Mungu wala msimshirikishe na chochote. Na wafanyieni wema wazazi wawili na jamaa na mayatima na masikini na jirani wa karibu na jirani wa mbali, na rafiki wa ubavuni na mpita njia, na walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. Hakika Mwenyezi Mungu hawapendi wenye kiburi wanao jifakhiri,]   [Surat An-Nisa:36]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.