0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

336. Riyadhu Swalihina Mlango wa Uharamu wa kuwaasi Wazazi na kukata Kizazi 01

باب تحريم العقوق وقطيعة الرحم


وعن أَبي بكرة نُفَيع بن الحارث – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {ألا أُنَبِّئُكُمْ بأكْبَرِ الكَبَائِرِ؟} – ثلاثاً – قُلْنَا: بَلَى، يَا رَسُول الله، قَالَ: {الإشْرَاكُ بالله، وَعُقُوقُ الوَالِدَيْنِ}، وكان مُتَّكِئاً فَجَلَسَ، فَقَالَ: {ألاَ وَقَوْلُ الزُّورِ وَشَهَادَةُ الزُّورِ} فَمَا زَالَ يُكَرِّرُهَا حَتَّى قُلْنَا: لَيْتَهُ سَكَتَ.    مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Bakrah, Nufai bin al-Hârith Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume   alituuliza: “Je, niwaambie madhambi yalio makubwa zaidi?” – Aliuliza hivyo mara tatu – Tukajibu: “Ndio, Yâ Rasûlallâh. (Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu) ” Akasema: “Ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu na kuwaasi wazazi.” Alikuwa ameegemea, akaketi akasema: “Fahamuni! Na neno la kuzua na ushahidi wa kuzua (pia ni katika madhambi makubwa).” Basi akawa anayakariri maneno hayo hata tukasema: “Laiti angenyamaa.]   [Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.