0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

365. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwatembelea Watu Wa Kheri, Kuketi Nao,Kusuhubina Nao, Kuwapenda Na Kuomba Kutembelewa Nao….

 باب زيارة أهل الخير ومجالستهم وصحبتهم ومحبتهم وطلب زيارتهم والدعاء منهم وزيارة المواضع الفاضلة


وعن ابن عباس – رضي الله عنهما -، قَالَ: قَالَ النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم – لِجبريل: {مَا يَمْنَعُكَ أنْ تَزُورنَا أكثَر مِمَّا تَزُورَنَا؟} فَنَزَلَتْ: ﴿وَمَا نَتَنَزَّلُ إِلاَّ بِأَمْرِ رَبِّكَ لَهُ مَا بَيْنَ أَيْدِينَا وَمَا خَلْفَنَا وَمَا بَيْنَ ذَلِكَ﴾ [ مريم: 64 ]   رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Abbâs Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Mtume alimwuliza Jibrîl: “Ni jambo gani linalokuzuwia kutuzuru zaidi ya unavyotuzuru?” Ikateremka Aya: “Wala hatuteremki ila kwa Amri ya Mola wako. Anayajua yalioko mbele yetu, yalioko nyuma yetu na yalioko katikati ya hayo..” [19:64].  [ Imepokewa na Bukhari.]


Begin typing your search above and press return to search.