0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

362. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwatembelea Watu Wa Kheri, Kuketi Nao,Kusuhubina Nao, Kuwapenda Na Kuomba Kutembelewa Nao….

 باب زيارة أهل الخير ومجالستهم وصحبتهم ومحبتهم وطلب زيارتهم والدعاء منهم وزيارة المواضع الفاضلة


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه قال -، قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {مَنْ عَادَ مَرِيضاً أَوْ زَارَ أخاً لَهُ في الله، نَادَاهُ مُنَادٍ: بِأنْ طِبْتَ، وَطَابَ مَمْشَاكَ، وَتَبَوَّأتَ مِنَ الجَنَّةِ مَنْزِلاً} رواه الترمذي، وَقالَ: {حديث حسن}، وفي بعض النسخ: {غريب}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea kuwa Mtume ﷺ  amesema: [Mwenye kumzuru mgonjwa au akamzuru nduguye kwa ajili ya Allâh, hunadi mwenye kunadi: “Umetwahirika na dhambi, zimekuwa adhimu thawabu za mwendo wako huu na umejiandalia Nyumba Peponi.]  [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.