0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

340. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Uharamu Wa Kuwaasi Wazazi Na Kukata Kizazi 05

باب بر الوالدين وصلة الأرحام


 وعن أَبي عيسى المغيرة بن شعبة – رضي الله عنه -، عن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {إنَّ اللهَ تَعَالَى حَرَّمَ عَلَيْكُمْ: عُقُوقَ الأمَّهَاتِ، وَمَنْعاً وهاتِ، وَوَأْد البَنَاتِ، وكَرِهَ لَكُمْ: قِيلَ وَقالَ، وَكَثْرَةَ السُّؤَالِ، وَإضَاعَةَ المَالِ}    مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû ‘Îsâ, al-Mughîra bin Shu’bah Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: [Hakika Mwenyezi Mungu Amewaharamishia kuwaasi akina mama, kuzuia mali kwa ubakhili na kuyakusanya kwa pupa, na kuwazika mabinti. Na Amechukia kwenu maneno ya uvumi, kuuliza sana na kuharibu mali.]  [ Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.