October 3, 2022
0 Comments
باب بر الوالدين وصلة الأرحام
وعن أَبي الدرداءِ – رضي الله عنه -: أن رجلاً أتاه، قَالَ: إنّ لي امرأةً وإنّ أُمِّي تَأمُرُنِي بِطَلاقِهَا؟ فَقَالَ: سَمِعْتُ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -، يقول: {الوَالِدُ أوْسَطُ أبْوَابِ الجَنَّةِ، فَإنْ شِئْتَ، فَأضِعْ ذلِكَ البَابَ، أَو احْفَظْهُ} رواه الترمذي، وَقالَ: {حديث حسن صحيح}
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
Imepokewa kutoka kwa Abuddardâ Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia kuwa mtu mmoja alimwendea akamwuliza: “Mimi nina mke, na mama yangu ananiambia nimtaliki?” Akamwambia: “Nimemsikia Mtume ﷺ akisema: [Mzazi ndiye bora wa milango ya Peponi, ukitaka uwache mlango huo na ukipenda uhifadhi.] [Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh]