باب بر الوالدين وصلة الأرحام
وعن سلمان بن عامر – رضي الله عنه -، عن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {إِذَا أفْطَرَ أحَدُكُمْ، فَلْيُفْطرْ عَلَى تَمْرٍ؛ فَإنَّهُ بَرَكةٌ، فَإنْ لَمْ يَجِدْ تَمْراً، فالمَاءُ؛ فَإنَّهُ طَهُورٌ}، وَقالَ: {الصَّدَقَةُ عَلَى المِسكينِ صَدَقةٌ، وعَلَى ذِي الرَّحِمِ ثِنْتَانِ: صَدَقَةٌ وَصِلَةٌ} رواه الترمذي، وَقالَ: {حديث حسن}
Kutoka kwa Salmân bin ‘Âmir Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Anapofuturu mmoja wenu afuturu kwa tende; kwani ina baraka. Asipopata tende, basi afungue kwa maji; kwani yanatwahirisha.” Na akasema: [Sadaka kumpa maskini ni sadaka, na kumpa mwenye kizazi (undugu/uhusiano) (nawe) ina ujira mara mbili: ni sadaka na ni kuunga kizazi.] [Imepokewa na At-Tirmidhi] na amesema: “Hadîth hii ni Hasan.]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله