0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

331. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwafanyia Wema Wazazi Na Kuunga Kizazi (Undugu) 21

باب بر الوالدين وصلة الأرحام


وعن أَبي أيوب خالد بن زيد الأنصاري – رضي الله عنه -: أنَّ رجلاً قَالَ: يَا رَسُول الله، أخْبِرْني بِعَمَلٍ يُدْخِلُني الجَنَّةَ، وَيُبَاعِدُني مِنَ النَّارِ. فَقَالَ النَّبيُّ – صلى الله عليه وسلم -: {تَعْبُدُ الله، وَلاَ تُشْرِكُ بِهِ شَيئاً، وَتُقِيمُ الصَّلاةَ، وتُؤتِي الزَّكَاةَ، وتَصِلُ الرَّحمَ}   مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Abû Ayyûb, Khâlid bin Zaid al-Ansâry Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia:“Mtu mmoja alimwambia Mtume : “Yâ Rasûlallâh (Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu), nieleze amali itakayoniingiza Peponi na kuniepusha na moto.” Mtume akamwambia: [Muabudu Allâh wala usimshirikishe kwa chochote, usimamishe Swala, utoe Zaka na uunge kizazi (undugu/uhusiano]   [Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.