0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

308. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Haki Ya Jirani Na Kumtendea Wema 06

.باب حق الجار والوصية بِهِ


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -: أن رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {مَنْ كَانَ يُؤْمِنُ بالله وَاليَومِ الآخرِ، فَلاَ يُؤْذِ جَارَهُ، وَمَنْ كَانَ يُؤْمِنُ باللهِ وَاليَومِ الآخِرِ، فَلْيُكْرِمْ ضَيْفَهُ، وَمَنْ كَانَ يُؤْمِنُ باللهِ وَاليَومِ الآخِرِ، فَلْيَقُلْ خَيْراً أَوْ لِيَسْكُتْ}   مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



MLANGO WA HAKI YA JIRANI NA KUMTENDEA WEMA


Imepokewa kutoka Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia: “Mtume amesema: [Anayemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho asimwudhi jirani yake. Anayemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho amkirimu mgeni wake, na anayemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho azungumze kheri au anyamaze]   [Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.