0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

307. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Haki Ya Jirani Na Kumtendea Wema 05

.باب حق الجار والوصية بِهِ


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -: أن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ:  {لاَ يَمْنَعْ جَارٌ جَارَهُ أنْ يَغْرِزَ خَشَبَةً في جِدَارِهِ}، ثُمَّ يقُولُ أَبُو هريرة: مَا لِي أرَاكُمْ عَنْهَا مُعْرِضينَ ! وَاللهِ لأرْمِيَنَّ بِهَا بَيْنَ أكْتَافِكُمْ.    مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



MLANGO WA HAKI YA JIRANI NA KUMTENDEA WEMA


Imepokewa kutoka Abû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake  amesimulia: “Mtume amesema: [Jirani asimkataze jirani yake kukita mbao katika ukuta wake.] Abû Huraira alikuwa akisema: “Mbona nawaona mumeipa mgongo Sunna hii? Wallahi nitawaambia (hata mkichukia).”   [Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.