0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

306. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Haki Ya Jirani Na Kumtendea Wema 04

.باب حق الجار والوصية بِهِ


وعن أَبي هريرة – رضي الله عنه -: أن النَّبيّ – صلى الله عليه وسلم -، قَالَ: {يَا نِسَاء المُسْلِمَاتِ، لاَ تَحْقِرَنَّ جَارةٌ لِجَارَتِهَا وَلَوْ فِرْسِنَ شَاة}   مُتَّفَقٌ عَلَيهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



MLANGO WA HAKI YA JIRANI NA KUMTENDEA WEMA


Imepokewa kutoka bû Huraira Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: “Mtume aliwaambia wanawake: [Enyi wanawake wa Waislamu, jirani asidharau kamwe kumpa zawadi jirani yake japo ni kwato ya mbuzi.]  [Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.