0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

301. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Mtu Kuwajibika Kumuamrisha Mkewe Na Watoto Wake 04

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن عمرو بن شعيب، عن أبيه، عن جدهِ – رضي الله عنه -، قَالَ: قَالَ رَسُول الله – صلى الله عليه وسلم -: {مُرُوا أوْلادَكُمْ بِالصَّلاةِ وَهُمْ أبْنَاءُ سَبْعِ سِنينَ، وَاضْرِبُوهُمْ عَلَيْهَا، وَهُمْ أبْنَاءُ عَشْرٍ، وَفَرِّقُوا بَيْنَهُمْ في المضَاجِعِ}  حديث حسن رواه أَبُو داود بإسناد حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Imepokewa kutoka kwa Amri bin Shuaib, amepokea kutoka kwa baba yake naye kutoka kwa babu yake akisema: Mtume amesema: “Waamrisheni watoto wenu kuswali wakiwa wana umri wa miaka saba, muwachape watakapoiacha wakiwa wana umri wa miaka kumi na muwatenganishe katika malazi.”             [ Hadîth hii ni Hasan, imepokewa na Abû Dâwûd kwa isnadi Hasan.]


Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.